Spoken word: Status viewers ~ Glady Shii

How many people view your WhatsApp status? - Quora

Status viewers


Those that I treasure do not know that I treasure them sijui kaa hiyo ndo reason why Mimi na nyinyi tubaki status viewers
na wengine nikiwatext inbox Waukuwa zile za long time dear //
Na after that mazungumzo hukatika nikiwaona wanaishia//
But hawajui my heart is too big na ndani kuna space yao ya kutulia//
Trust me if I treasure you, you will always be that person that my heart huishi kusifia//
Sijui kaa Unakumbuka kuna time Fulani ulinihelp kujua one plus one is equal to two nikafurahia//
Ukanishow value ya life yangu time esteem yangu ilikuwa down kiasilimia//
Ukanimotivate ndo maana asubuhi nikiamka first lazima ningekutext au kukupigia//
Juu siku yangu kiukweli Pakubwa ulisaidia//
But nowadays ata Siamini we are just status viewers //
Sometimes me hutry kupost stuff ndo ucomment but unaishia kuwa viewer //
Najipa moyo eti akilini na moyoni umecomment you are not just a viewer //
So nataka uniambie waziwazi why did you forget that wewe ni penseli//
Na Katika Maisha yangu ulitia Alama kiukweli?//
Siamini natype thoughts zangu ndo nione kaa itakufikia//
huenda nilikosa guess ndo maana uhusiano Wetu leo nalilia//
Na Kama wanisikia mwenzako Njoo nikueleze yalo nifika//

1 thought on “Spoken word: Status viewers ~ Glady Shii

  1. Sijasahau kwamba Mimi nilikua penseli, najua ule mwingine alikuja kiasili na wasili, akatumia rubber juu alama ya penseli hufutika, alama yake kaitia na kalamu ya wino. Kumbe pia ni owino, Mimi kiakili singewezana, nikachorea zangu nibaki status viewer

Leave a Reply and Don't Forget to Save your Logins.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.